Mkutano wa Mwaka – Mitgliederversammlung 2026
11 January 14:00 - 18:00
Free

Mnamo Januari 11, 2026, tunawaalika wanachama wote kwa ukarimu kwenye mkutano wetu wa mwaka, ambao – kama ambavyo imekuwa desturi – utafanyika katika Café ya Allerweltshaus. Tunaangalia mafanikio yetu ya mwaka uliopita, 2025, pamoja na kupanga shughuli za mwaka mpya, 2026.
Am 11. Januar 2026 laden wir alle Mitglieder herzlich zu unserer jährlichen Mitgliederversammlung ein, die – wie in den letzten zwei Jahren auch – im Café des Allerweltshaus stattfinden wird. Wir freuen uns zusammen über das vergangene Jahr 2025 zu resümieren und Pläne für das neue Jahr zu schmieden.